Je, Kweli Imran Khan Anajumuisha Harakati Halali ya Kujitolea Muhanga na Yenye Matunda?!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Serikali ya Pakistan imempiga marufuku Waziri Mkuu aliyeng’atuliwa mamlakani, Imran Khan, kufanya mkutano mkubwa, uliopangwa kufanyika jijini Islamabad na kuwasaka wafuasi wake katika uvamizi kote nchini, ikiwakamata mamia.