Jumapili, 24 Dhu al-Hijjah 1445 | 2024/06/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi Kuu ya Habari: Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1443 H – 2022 M

Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi

Kitengo cha Wanawake: Kampeni "Mgogoro wa Mazingira: Sababu na Masuluhisho ya Kiislamu"

Wiki hii, mawaziri na wanadiplomasia kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanakusanyika mjini Glasgow kwa ajili ya Kongamano la 26 la Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, linalolenga kutibu kile ambacho wengi wamekitaja kuwa "dharura ya hali ya hewa" inayoikabili sayari ya dunia.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari: Angazo Maalum "Baada ya Miaka Ishirini ya Vita vya Msalaba, Afghanistan Yaelekea Wapi?!"

Mnamo 07/10/2001 M, Amerika, kinara wa ukafiri, na mshirika wake Uingereza walianzisha vita vya kinyama dhidi ya Waislamu, waliishambulia kwa mabomu miji ya Afghanistan ya: Kabul, Kandahar, Jalalabad na mengineyo na makombora ya Tomahawk, na kurusha makombora na aina anuwai za silaha.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu