Jumatatu, 17 Dhu al-Qi'dah 1444 | 2023/06/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Risala za Dharura kuhusu Uhalifu na Ukiukaji wa Hay'at Tahrir Ash-Sham!

Risala zilizotolewa na kundi la wabebaji Da’wah zilizoelekezwa kwa Hay’at Tahrir Ash-Sham (HTS) baada ya kuvamia nyumba za wabebaji Dawah na kuwakamata mashababu kadhaa wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria kwa njia ya kishenzi, ukiukaji utukufu, katika mandhari ya kutisha iliyo mbali na maadili ya Uislamu na Waislamu.

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Ijumaa, 22 Shawwal 1444 H sawia na 12 Mei 2023 M

Kutoka Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa kwenda kwa Hay’at Tahrir Ash-Sham

Kalima Kutoka Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa kwa Fadhila za Sheikh Issam Ameira (Abu Abdullah)

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Kutoka Tripoli Ash-Sham hadi kwa Wanamapinduzi wa Ash-Sham!

Kalima ya Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Enyi Waheshimiwa wa Kundi la Hay'at kuweni Pamoja na Wakweli!

Kalima ya Sheikh Dkt. Muhammad Ibrahim

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Lebanon

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

“Heri Kifo kuliko Udhalilifu” ndio Kauli Mbiu Iliyoanzisha Mapinduzi… Na al-Julani anayavisha Taji la Udhalilifu!]

Kalima kutoka Tripoli, Ash-Sham, na Ustadh Ahmad Al-Qasas

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Risala kwenda kwa Kundi la Hay'at Tahrir Ash-Sham

Kalima kutoka Wilayah Jordan ya Sheikh Abu Salim Al-Sakhri

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Risala ya Dharura kutoka Al-Khadra (Tunisia) hadi Ash-Sham

Kalima ya Ustadh Khubaib Karabaka

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Ujumbe kutoka Lebanon hadi kwa Wanyoofu Waliobakia katika Hay’at Tahrir Ash-Sham

Kalima kutoka Tripoli Ash-Asham na Sheikh Ahmad Al-Shamali

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Ukombozi wa Ash-Sham ni kutokana na Matwaghut, sio Wabebaji Da’wah, Ewe Al-Julani!

Kalima kutoka Tripoli Ash-Asham na Sheikh Ahmad Al-Sufi (Abu Nizar Ash-Shami)

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Ni kwa Manufaa ya Nani Nyinyi Kuwashambulia wenye Ikhlasi?

Kalima kutoka Tripoli Ash-Asham na Ustadh Ahmad Al-Abdullah

#منتهك_الحرمات_عراب_المصالحات

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu