- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Kampeni kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah
Katika mwezi wa Rajab Tukufu ya mwaka huu wa 1444 H Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon imezindua kampeni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 Hijria ya kuvunjwa Khilafah kwa kichwa:
“Hali Ingekuwaje Kwetu lau Tungekuwa na Khilafah na Khalifa!?
Ijumaa, 12 Rajab Tukufu 1444 H - 03 Februari 2023 M
[Kalima ya Tarehe 1 Rajab]
- Uchungaji wa Kweli wa Dola kwa Raia -
[Kalima ya Tarehe 2 Rajab]
- Haki ya Kuwahisabu Watawala -
[Kalima ya Tarehe 3 Rajab]
- Je, Khilafah itabaki kuwa Ardhi inayokaliwa kwa Mabavu? -
[Kalima ya Tarehe 4 Rajab]
- Uchumi wa Kweli wa Dola ya Khilafah wenye Kupambana na Mfumko wa Bei -
[Kalima ya Tarehe 5 Rajab]
- Vyombo vya Habari katika Dola ya Khilafah -
[Kalima ya Tarehe 6 Rajab]
- Haiba ya Dola ya Khilafah kati ya Dola Nyenginezo -
[Kalima ya Tarehe 7 Rajab]
- Khilafah na Riba -
[Kalima ya Tarehe 8 Rajab]
- Suluhisho la Mwisho la Umasikini katika Dola ya Khilafah -
[Kalima ya Tarehe 9 Rajab]
- Khilafah Itakabiliana vipi na Majanga -
[Kalima ya Tarehe 10 Rajab]
- Saumu ya Waislamu ndani ya Khilafah -
[Kalima ya Tarehe 11 Rajab]
- Cheo cha Mwanamke ndani ya Khilafah -
[Kalima ya Tarehe 12 Rajab]
- Idadi ya Walio Wachache ndani ya Dola ya Khilafah -
[Kalima ya Tarehe 13 Rajab]
- Umoja, Izza, Hadhara nk -
[Kalima ya Tarehe 14 Rajab]
- Kutii Amri ya Mwenyezi Mungu (SWT), maisha yenye heshima, ukombozi wa nchi, na mwavuli wa haki kwa wanadamu -
[Kalima ya Tarehe 15 Rajab]
- Hivi ndivyo tutakavyokuwa lau kungekuwa na Khilafah na Khalifa baina yetu! -
Basi njooni mufanye kazi pamoja na Hizb ut Tahrir kusimamisha Khilafah na kumteua Khalifa, hilo litatokea hivi karibuni, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu
[Kalima ya Tarehe 16 Rajab]
- Mfano wa Ummah wangu ni ule wa mvua; Haijulikani kheri yake iko mwanzo wake au mwisho wake -
Chini ya kivuli cha migogoro na majanga yanayousibu Ummah wetu, Mtume (saw) amesema:
(أمَّتي كالمطرِ لا يُدرى أولُّه خيرٌ أم آخرُه)
"Mfano wa Ummah wangu ni ule wa mvua; Haijulikani kheri yake iko mwanzo wake au mwisho wake"
- Alama Ishara za Kampeni -
#Time4Khilafah |
#EstablishKhilafah |
#ReturnTheKhilafah |
#TurudisheniKhilafah |
#KhilafahBringsRealChange |
#بالخلافة_يحصل_التغيير_الحقيقي |
أقيموا_الخلافة# |
كيف_تقام_الخلافة# |
#YenidenHilafet |
#HakikiDeğişimHilafetle |
Kwa Mengi Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon
Ukurasa wa Facebook wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon