Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir "Muokoe Mateka Jannat Bespalova!"
- Imepeperushwa katika Kampeni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kutokana na maafa yanayo tekelezwa na serikali ya kihalifu ya Urusi dhidi ya Waislamu wa Urusi, leo, mamia ya Waislamu wanafungwa katika magereza ya Urusi kwa sababu ya kushiriki kwao katika kazi ya Hizb ut Tahrir. Walituhumiwa “ugaidi” kirongo kwa kutegemea uamuzi wa kufedhehesha wa Mahakama ya Upeo wa kuiorodhesha Hizb ut Tahrir kama shirika la kigaidi. Kwa mujibu wa uamuzi huu wa kiajabu, Chama hiki cha Kisiasa cha Kiislamu, kikawa chama cha “kigaidi”.