Jumatatu, 14 Rabi' al-thani 1447 | 2025/10/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia

H.  11 Rabi' II 1447 Na: 1447/03
M.  Ijumaa, 03 Oktoba 2025

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Baada ya Mashambulizi ya Umbile la Kiyahudi kwa Sumud Flotilla
Wito wa Dharura kwa Maafisa na Askari katika Majeshi ya Waislamu
Jeshi Husagwa sagwa na Jeshi Pekee
(Imetafsiriwa)

Enyi Wanajeshi: Mumeshuhudia shambulizi la umbile la Kiyahudi dhidi ya Sumud Flotilla iliyosafiri bahari ili kuvunja kuzingirwa kwa kaka na dada zenu mjini Gaza, na mkasikia vilio vyao vya kuomba msaada, na mkaona kwa macho yenu uovu wa watawala, ufisadi wao, ukosefu wao wa hisia, na kufeli kwao kuinusuru Gaza na wanaharakati wa flotilla. Imekudhihirikieni pia kwamba watawala hao walimfanyia khiyana Mwenyezi Mungu na Mtume wake na kuwaangusha Waumini walipoangusha hadharani kile walichokiita “chaguo la vita” kwa kunyenyekea matamanio ya viongozi wa ukafiri. Yaani waliacha kutegemea uwezo wenu, nyinyi ambao ni askari wa Muhammad (saw), watu wa jihad, uokoaji, na azma, na kizazi cha mujahidina waliowashinda Matatari, Makruseda, na maadui wote wa Uislamu katika zama za Khilafah.

Enyi Maafisa na Wanajeshi katika Majeshi ya Waislamu: Njama hiyo inakaribia kukamilika, na mpango wa Trump unasubiri kutekelezwa na kufikiwa kwa yale ambayo jeshi hilo lilishindwa kufanya. Ushiriki wa watawala wasaliti umefichuliwa katika shinikizo lao kwa mujahidina kujisalimisha na kukabidhi silaha zao, na umbile la Kiyahudi limekwenda mbali katika kuwaua watu wenu huko Gaza Hashem [Yenye Fahari]. Kwa muda wa miaka miwili kamili, wamekuwa wakibomoa nyumba juu ya vichwa vya wakaazi wake, wakiwaua kaka na dada zenu kwa kuwalenga shabaha kwa risasi na makombora, na kutegemea uwekaji njaa kuwavunja nguvu zao na kutafuna fahari na uanaume wao ili wasisubutu kufikiria tena kutishia umbile lao la kinyama.

Enyi Mujahidina Mashujaa: Ummah wenu, baada ya kusalitiwa na watawala wake na kukabidhiwa kwa maadui zake kinyama, wanakutazameni na wanakuombeni kuitikia wito wa wajibu. Unakulinganieni kupigana na jeshi la Mayahudi, kwani nyinyi muna uwezo wa kulishinda, na nyuma yenu kuna jeshi kubwa la Waislamu wanaotafuta ushindi au kuuawa shahidi na wanatumai kwamba Mwenyezi Mungu atatuondolea ghadhabu na hasira zake baada ya sisi kuwatelekeza kaka na dada zetu huko Gaza.

Maadui wameishusha thamani damu yetu baada ya kuhakikisha utiifu wa watawala wetu na kushindwa kutembeza vifaru na kuviacha kwenye mahandaki yao kuliwa na kutu. Vifaa na silaha zimehifadhiwa katika hifadhi ala zao bila matumizi hata kidogo. Umma ulitumia sana kujenga majeshi yake na umejitayarisha kikamilifu kutoa wanawe na mali kwa ajili ya uasi na harakati zenu, ili tuweze kupigana vita na tutoke kwenye udhalilifu huu na kusujudu mbele ya wale ambao historia yao haijui chochote isipokuwa uduni wao na chuki.

Enyi Maafisa na Askari watukufu: Ni nyinyi tu mnaoweza kuponya kifua cha Ummah kutoka kwa maadui wake, maadui wa Dini yenu. Ni nyinyi peke yenu mnaoweza kutibua njama katika ardhi ya Isra’, hiyo sehemu iliyobarikiwa ya ardhi zenu. Kupitia harakati zenu peke yake, Palestina itakombolewa, Mayahudi watafukuzwa, na pua ya Amerika yenye kiburi, ambayo inapigana vita dhidi ya Uislamu wenu, itavunjika.

Kwa hakika wakati umefika wa nyinyi kuvunja migongo ya walaji njama na kuzuia njama zao za kuweka ardhi ya Palestina kama haki ya Mayahudi na kuweka kizuizi baina yao na eneo lote kwenye chini ya asilimia 20 ya ardhi ya Palestina, ambayo wanaiita “Dola ya Palestina,” ili kuongeza umbo dhaifu katika maumbo yaliyosambaratisha mwili wa Umma vipande vipande kwa mipaka ambayo wao wenyewe waliichora, ili kuudhoofisha Ummah huu na iwe rahisi kwao kung'oa kila nchi yake.

Msimamo wenu katika siku hizi, kabla ya njama zao kukamilika, utanakiliwa kwa ajili yenu na Mwenyezi Mungu kabla ya kunakiliwa na Ummah, kwa herufi zilizoandikwa kwa dhahabu, kwa kila muumini shupavu miongoni mwenu, katika kumbukumbu yenye harufu nzuri itakayobakia kuwa nuru kwa vizazi vyake vijavyo.

Umma unataraji kutoka kwenu, enyi watukufu kuitikia wito wake, kwani nyinyi sio ambao mngeacha hatima ya Umma huu mtukufu mikononi mwa maadui zake.

[قَاتِلُوهُمْ يُعَذِّبْهُمُ اللّهُ بِأَيْدِيكُمْ وَيُخْزِهِمْ وَيَنصُرْكُمْ عَلَيْهِمْ وَيَشْفِ صُدُورَ قَوْمٍ مُّؤْمِنِينَ]

“Piganeni nao, Mwenyezi Mungu awaadhibu kwa mikono yenu, na awahizi na akunusuruni muwashinde, na avipoze vifua vya kaumu ya Waumini.” [Surat At-Tawbah: 14]

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Tunisia

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia
Address & Website
Tel: 71345949 / 21430700
http://www.ht-tunisia.info/ar/
Fax: 71345950
E-Mail: tunis@htmedia.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu