Tuzo ya Nobel ya Profesa Gurnah isukume Tanzania kujali Wananchi wake
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku ya alkhamis 07/10/2021 Profesa mstaafu wa lugha ya Kiingereza na fasihi baada ya ukoloni na mwandishi wa riwaya Abdulrazak Gurnah alishinda tuzo ya Nobel katika fasihi yenye thamani ya medali ya dhahabu na pesa milioni 10 krona za Uswidi (dolari milioni 1.14)