Miaka 25 ya kidonda cha Srebrenica ambacho kingali hakijapona
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wanadamu hawajapatapo kushuhudia uhalifu mbaya zaidi katika zama hizi za sasa kuliko ule uhalifu uliofanywa na Waserbia nchini Yugoslavia ambako walitekeleza uhalifu wa kinyama tofauti tofauti dhidi ya Waislamu unaoufanya kuwa mbaya zaidi katika historia.