Srebrenica na Mustakbali wa Waislamu Barani Ulaya
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 tangu wanamgambo wa Kiserbia kutekeleza mauwaji ya halaiki katika mji wa Bosnia wa Srebrenica.
Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 tangu wanamgambo wa Kiserbia kutekeleza mauwaji ya halaiki katika mji wa Bosnia wa Srebrenica.
Maulamaa (Wenye elimu) ni warithi wa Mitume (as), cheo ambacho hakitolewi kwa sababu tu ya kuidhinishwa na chuo kikuu chochote au madrasah, wala sio kwa elimu yenyewe ambayo wameipata.
Mwezi huu wa Julai unafikisha mwaka wa 25 tangu mauwaji na halaiki ya Waislamu wa Bosnia eneo la Srebrenica ambayo ni uhalifu uliotekelezwa na Jeshi la Kibosnia la Waserbia, likiongozwa na 'Mchinjaji wa Bosnia', mhalifu wa kivita Ratko Mladic.
Yaliyotokea Srebrenica kipindi cha vita vya Bosnia, yaliyopelekea kuibuka kwa msamiati wa kisiasa wa "Balkanization", lilikuwa ni doa jeusi katika historia ya siasa za kileo.
Licha ya udogo wake wa eneo, katika kipindi chote cha historia yake eneo la Balkan lilikuwa ni medani ya mivutano, vita vya kikatili, na uhamaji wa kimakundi. Huenda ikawa hakukua na eneo jengine duniani kama hili ambalo limekuwa ni la matukio ya kihistoria, sehemu ya kuibuka na kutoweka kwa mataifa mengi na ya aina tofauti, makabila, jamii na himaya
Uislamu ni Ujumbe kwa wanaadamu wote. Unawalingania watu wote, bila kuzingatia rangi. Uislamu haukuja kwa jamii, kabila, au taifa moja, au kwa watu maalum wanaoishi katika zama au eneo maalum.
Kiulimwengu na kindani nchini Pakistan, ni wazi kuwa Urasilimali upo katika mgogoro mbaya sana. Hata kabla ya mripuko wa maradhi ya Korona (Covid 19), mdororo wa kiuchumi ulikuwa wazi. Kote ulimwenguni, huduma za dharura za afya ya ummah zilikuwa mbovu na kuchukuliwa kama ni sehemu ya kinga kwa mdororo huo.
Milton Friedman, mwanzilishi wa uliberali mpya, aliandika katika kitabu chake juu ya Urasilimali mwaka 1981: Ni mgogoro tu – ima wa kihakika au wa kudhaniwa – huleta mabadiliko ya kweli.
Kila mmoja anamwita Mamo (Mjomba) na ndio maana kamwe haikuwa vizuri kumwita Naveed Butt.
Waamerika wamefungiwa katika majumba yao kwa kuogopea kirusi kipya ambacho kimeuwa zaidi ya Waamerika 100,000 mwaka huu, lakini kifo cha mwanamume mmoja pekee mnamo Mei 25 kimewatoa barabarani kufanya maandamano,