Mpango Kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na Umbile la Kiyahudi ni Zao la Mfumo wa Kimagharibi Litakalowadhuru Ndugu Zetu wa Palestina
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 13 Agosti 2020, ‘Israel’ na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zilikubaliana juu ya Mkataba wa Abraham (Abraham Accord).