Hizb ut Tahrir: Chama Chenye Sifa za Kufikia Mabadiliko ya Kweli Katika Ardhi za Waislamu
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika miaka 100 iliopita, ardhi za Waislamu hazikujua chochote isipokuwa kiza, vifo, maangamizi, ufukara na kukata tamaa. Mauwaji, mateso, ukandamizaji, ufidhuli na maafa yamefumwa kwenye msingi wa maisha ya watu katika eneo hili.