Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kuuawa kwa Mbebaji Ulinganizi Mkweli Omar Faruq ni Onyo Dhahiri kwa Ummah kwamba Uislamu na Waislamu Daima Watabaki bila ya Ulinzi chini ya Watawala wa Kisekula

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh inatoa rambi rambi zake za dhati kwa Waislamu waliofiwa wa wilaya ya mbali ya milima ya Bandarban ya Bangladesh ambao wamempoteza kiongozi wao mhamasishaji Omar Faruk Tripura, Mwislamu mwenye umri wa miaka 55 aliyeuawa mbele ya nyumba yake kama shahidi (inshaAllah) mikononi mwa maadui wa Uislamu.

Soma zaidi...

Al Jazeera Haijafichua Chochote Kipya kuhusu ‘Serikali ya Kijambazi ya Hasina; Kile Ambacho Vyombo vya Habari Vinapaswa Kufichua ni Demokrasia ya Kirasilimali – Mazingira Mwanana ya Majambazi kama Hao

Kitengo cha Upelelezi cha mtandao wa Al Jazeera kimedai kufichua ufisadi mkubwa wa kisiasa wa serikali ya Hasina kupitia msururu wa rekodi za siri ("Wanaume wote wa Waziri Mkuu", aljazeera.com, 1 Februari 2021).

Soma zaidi...

Makubaliano ya Imarati na Bahrain Pamoja na Umbile la Kiyahudi ni Khiyana Kubwa dhidi ya Palestina Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh iliandaa Visimamo vya Kulaani dhidi ya Makubaliano Haya

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh leo (Ijumaa, 25/09/2020) baada ya swala ya Ijumaa iliandaa maandamano katika misikiti tofauti tofauti jijini Dhaka na Chittagong dhidi ya makubaliano ya khiyana ya Imarati na Bahrain pamoja na umbile la Kiyahudi.

Soma zaidi...

Upigaji Marufuku wa Usafirishaji Nje Vitunguu Nchini India Umefichua Maumbile Halisi ya Watawala wa Kisekula wa Bangladesh Ambao Hawaoni Aibu Kujifanya kama Vinywa vya Washirikina Maadui.

Wakati ambapo India imeweka marufuku ya ghafla kwa usafirishaji wake wa kitunguu kwenda Bangladesh, watawala wetu wa vibaraka wamekuja kuokoa sura ya adui huyu mshirikina kwa kujifanya kama mdomo wake.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu