Kampeni ya Uzushi ya Mashirika ya Haki za Wanawake ya kuunganisha kwa uongo Ubaguzi na Unyanyasaji wa Wanawake na Sheria ya Mirathi ya Kiislamu ni Kuondoa Mabaki Yoyote Yaliyosalia ya Hukmu za Uislamu katika Jamii.
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Machi 10, 2022, Bangladesh Nari Pragati Sangha (BNPS), shirika la ndani la haki za wanawake, limedai marekebisho ya sheria zilizopo za familia na kutunga sheria mpya nchini Bangladesh ili kuhakikisha haki sawa kwa wanawake katika urithi na mali ya familia.