Ijumaa, 10 Shawwal 1445 | 2024/04/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hasina Alikamilisha Ushirikiano wa Ulinzi wa Nchi Mbili Pamoja na Dola ya Kishirikina-India ambao ni usaliti dhidi ya Waislamu na Uislamu; kuomba Ushirikiano kama huo wa Kijeshi ni Ukiukaji wa Dhahiri wa Onyo la Mtume wetu (saw)...

Huku watu wakipima uzito ziara ya Sheikh Hasina nchini India katika suala la kutoa na kuchukua, wengi huikosa kadhia nyeti ambauo alipiga pigo kubwa kwa vikosi vyetu vya jeshi na kuvifanya dhaifu kwa kile kinachoitwa Ushirikiano wa Ulinzi wa Nchi Mbili pamoja na India.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh iliandaa Maandamano dhidi ya Ongezeko Lisilo na Kifani na la Kitatili la Bei ya Mafuta Lililofanywa na Serikali kwa Ushirikiano na IMF

Leo Ijumaa (Agosti 11, 2022) baada ya swala ya Ijumaa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh iliandaa mikusanyiko ya maandamano katika majengo ya misikiti mbalimbali jijini Dhaka na Chittagong, chini ya kichwa: “Kwa Ushirikiano na IMF, Serikali bila huruma imeongeza Bei ya Mafuta; Ukombozi wetu kutokana na Kutawaliwa Kiuchumi na Dola za Kimagharibi za Kikafiri unawezekana tu chini ya Khilafah”.

Soma zaidi...

Huku Watu Walioathiriwa na Mafuriko Wakililia Chakula na Makaazi, Serikali ya Hasina Yawalazimisha Watu Kusherehekea Uzinduzi wa Mradi wake wa Uporaji Mkubwa wa Daraja la Padma - Ikifichua ‘Muujiza wa Maendeleo’ wa Mfumo Mbovu wa Utawala wa Kirasilim

Takriban nusu ya Bangladesh sasa iko katika mshiko wa mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea kutokana na kuteremka kwa maji mengi sana ya mvua masika kutoka kwenye vilima vinavyozunguka eneo la Meghalaya nchini India.

Soma zaidi...

Kampeni ya Uzushi ya Mashirika ya Haki za Wanawake ya kuunganisha kwa uongo Ubaguzi na Unyanyasaji wa Wanawake na Sheria ya Mirathi ya Kiislamu ni Kuondoa Mabaki Yoyote Yaliyosalia ya Hukmu za Uislamu katika Jamii.

Mnamo Machi 10, 2022, Bangladesh Nari Pragati Sangha (BNPS), shirika la ndani la haki za wanawake, limedai marekebisho ya sheria zilizopo za familia na kutunga sheria mpya nchini Bangladesh ili kuhakikisha haki sawa kwa wanawake katika urithi na mali ya familia.

Soma zaidi...

Mahakama Kuu ya Kisekula ya Karnataka Inasubutuje kutoa "Fatwa" kuhusiana na kile ambacho Mwenyezi Mungu (swt) Amewafaradhisha Waislamu! Enyi Waislamu! Ni nani Mwengine Isipokuwa Khilafah Atalinda Haki na Heshima za Dada zetu?

Kwa kushikilia marufuku ya hijab kwa wasichana wa shule na walimu wa Kiislamu katika taasisi za elimu chini ya serikali ya Jimbo hili inayoendeshwa na chama chenye misimamo mikali cha Hindutva Bharatiya Janata (BJP),

Soma zaidi...

Enyi Watu, Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh, Inawaalika Kuhudhuria Kongamano Lijalo la Mtandaoni kwa Anwani: “Je, Kweli Tuko Huru?”

Kama mnavyojua, katika bara hili, baada ya miaka mia mbili ya mapambano dhidi ya unyonyaji na ukandamizaji wa ukoloni wa Uingereza, Pakistan na India ziliibuka kama Dola huru mnamo tarehe 14 na 15 Agosti 1947 mtawalia. Baadaye mwaka wa 1971 Bangladesh iliibuka kama Dola huru.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu