Tangazo la Matokeo ya Kuutafuta Mwandamo wa Mwezi wa Shawwal 1445 H Pongezi kwa Idd Al-Fitr Al-Mubarak
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kuutafuta mwandamo wa mwezi wa Shawwal katika mkesha huu uliobarikiwa wa Jumanne, mwandamo wa mwezi mpya haujathibitishwa kulingana na mahitaji ya Shariah. Kwa hivyo, kesho Jumanne ni kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan, Mwenyezi Mungu akipenda, na siku inayofuata kesho Jumatano, itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Shawwal na siku ya kwanza ya Idd al-Fitr iliyobarikiwa.