Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali “Ijumaa – Majeshi kwenda Al-Aqsa”
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linachoendelea na kudumu katika shambulizi lake linaloendelea kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu wa Ukanda wa Gaza ambao umekuwa ikiendelea kwa miaka 17