Jumanne, 05 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al Waqiyah TV: Silsila ya Ramadhan
“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”

Kwa kuzingatia mauaji ya halaiki ya kikatili ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi mitano iliyopita yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000. Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwatangazia wafuasi wake na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari katika mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan 1445 H - 2024 M silsila ya kipindi kipya cha Al-Waqiyah TV chenye kichwa: "Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!" kinacho wasilishwa na wabebaji Dawah kutoka pande zote za dunia. Kila siku katika mwezi huu uliobarikiwa ndugu waheshimiwa wanashughulikia kipengee cha kweli cha kupata ushindi kwa Gaza. Mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa Jihad, nusra na ushindi.

Basi kuweni pamoja nasi...

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kwanza -
Aqeedah Imara!
Imewasilishwa na: Ust. Osama Al-Thuwaini
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Kuwait

Jumatatu, 01 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 11 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Pili -
Vunjeni vikwazo na Mufungue Mipaka!
Imewasilishwa na: Ust. Abdo Dilli
Mwanachama wa Afisi ya Habari Hizb ut Tahrir/ Wilayah Syria

Jumanne, 02 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 12 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Tatu -
Mwezi wa Ufunguzi!
Imewasilishwa na: Ust. Abdulaziz Munayes
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Kuwait

Jumatano, 03 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 13 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Nne -
Bishara Njema na Ufunguzi!
Imewasilishwa na: Ust. Abu Islam
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Uswidi

Alhamisi, 04 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 14 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Tano -
Gaza Yalilia Imani Yenu Je, Yuko wa Kuitikia?!
Imewasilishwa na: Dada Rana Mustafa
Mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Ijumaa, 05 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 15 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Sita -
Gaza Imewafichua na Kuwafedhehi!
Imewasilishwa na: Ust. Burhan Al-Saman
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Jumamosi, 06 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 16 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Saba -
Enyi Waislamu... Sitisheni Umwagaji Damu huko Gaza!
Imewasilishwa na: Mwadhama Sheikh Said Ridhwan (Abu Imad)
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Jumapili, 07 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 17 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Nane -

(وإن استنصروكم في الدين فعليكم النصر)

"Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia" [Al-Anfal: 72]
Imewasilishwa na: Ustadh Oday Sodiana
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Jumatatu, 08 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 18 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Tisa -

Miaka 100 ya Udhalilifu na Unyonge!
Imewasilishwa na: Dkt. Omar Abdallah
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Yemen

Jumanne, 09 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 19 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi -

Enyi Watu wa Gaza... Kutoka Kwenu Tumejifunza Subira!
Imewasilishwa na: Ust. Amer Salim
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Jumatano, 10 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 20 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Moja -

Allahumma Siku mithili ya Siku ya Al-Furqan (Siku ya Upambanuzi)!
Imewasilishwa na: Ust. Abu Wasim
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Uswidi

Alhamisi, 11 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 21 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Mbili -

Ramadhan na iwe ni Mwezi wa Nusra!
Imewasilishwa na: Ust. Raid Al-Raei
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ijumaa, 12 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 22 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Tatu -

Songeni kabla Hamjabadilishwa!
Imewasilishwa na: Ust. Bila Kasrawi
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Jumamosi, 13 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 23 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Nne -

Twendeni kwenye Jihad Enyi Waislamu!
Imewasilishwa na: Ust. Yassin Mutahhar
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Jumapili, 14 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 24 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Tano -

Je, Mnayoyaona Gaza Hayakuhamasishini?!
Imewasilishwa na: Ust. Muhammad Abu Hisham
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Jumatatu, 15 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 25 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Sita -

Hapa ndipo Ugonjwa Ulipo!
Imewasilishwa na: Ust. Abdulrazak Aboud
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Jumanne, 16 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 26 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Saba -

Baada ya zaidi ya Miezi 5... Tunasubiri Nini?!
Imewasilishwa na: Ust. Rabie Chalabi
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Uswidi

Jumatano, 17 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 27 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Nane -

Jihad na Saumu... Hazitenganishiki!
Imewasilishwa na: Ust. Muhammad Abkar Mujaddid
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Alhamisi, 18 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 28 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Kumi na Tisa -

Hebu Ramadhan na iwe ni Mwezi wa Nusra na Tamkini!
Imewasilishwa na: Dkt. Abdullah Nasser
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Ijumaa, 19 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 29 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini -

Lini Tutakomesha Dhulma dhidi ya Watu Wetu Mjini Gaza?!
Imewasilishwa na: Ust. Abdullah Imamoglu
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jumamosi, 20 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 30 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Moja -

Hii ni Kauli ya Mwenyezi Mungu kwenu Enyi Majeshi ya Waislamu!
Imewasilishwa na: Ust. Khubayb Karabaka
Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Jumapili, 21 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 31 Machi 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Mbili -

Ni kwa Nini Wanaogopa Uislamu na Waislamu?!
Imewasilishwa na: Ust. Elder Khamzin
Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Jumatatu, 22 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 01 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Tatu -

Hasira za Umma Zitalipuka Lini?!
Imewasilishwa na: Dkt. Ibrahim Baqa
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Jumanne 23 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 02 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Nne -

Mpaka Lini Watu wa Palestina Wataendelea Kulipia Gharama ya Kuihami Al-Aqsa Peke Yao?!
Imewasilishwa na: Mhandisi Shahzad Sheikh
Naibu Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Jumanne 23 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 02 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Tano -

Tangazeni Jihad katika Mwezi wa Jihad!
Imewasilishwa na: Ust. Abdul Rahman Muhammad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Jumatano 24 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 03 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Sita -

Mtihani wa Gaza!
Imewasilishwa na: Ust. Abdul Hakim Othman
Msemaji wa Hizb ut Tahrir / Malaysia

Jumatano 24 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 03 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Saba -

Kifo, Njaa, wala Hakuna Kusalimu Amri... Hii ndiyo Hali ya Gaza!
Imewasilishwa na: Ust. Muhammad Sahbani
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Alhamisi 25 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 04 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Nane -

Vipi Mwenyezi Mungu Atatusamehe ikiwa Hatuwanusuru Watu wa Gaza?!
Imewasilishwa na: Ust. Mobeen Abu Dawud
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Tajikistan

Alhamisi 25 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 04 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Ishirini na Tisa -

Ni Nani Atakayeiokoa Gaza?!
Imewasilishwa na: Ust. Süleyman Uğurlu
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ijumaa 26 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 05 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini -

Iaminini Ahadi ya Mola Wenu na Mutoe Damu Yenu kwa ajili hiyo... Je Mutafuata Mfano Wao?!
Imewasilishwa na: Ust. Hammad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ijumaa 26 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 05 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini na Moja -

Imam ni Ngao Watu Hupigana Nyuma Yake na Kujihami?!
Imewasilishwa na: Ust. Muhammad Almel
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Australia

Jumamosi 27 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 06 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini na Mbili -

Je, Chuki Yenu Haijashiba Damu ya Waislamu?!
Imewasilishwa na: Ust. Marwan Ubaid
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Jumapili 28 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 07 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini na Tatu -

Hakika Wakati Umewadia wa Kutaharaki kwa ajili ya Gaza basi Msitelekeze!
Imewasilishwa na: Ust. Irfan
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Jumatatu 29 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 08 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini na Nne -

Khilafah ni Mtetezi wa Waislamu na Ngao Yao!
Imewasilishwa na: Ust. Abdul Rahim Bairam
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jumanne 30 Ramadhan al Mubarak 1445 H - 09 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini na Tano -

Uimara wa Watu wa Gaza Umethibitisha Udhaifu wa Umbile la Kiyahudi!
Imewasilishwa na: Ust. Najm Al-Din Shuaibin
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Jumatano 01 Shawwal Al-Kheir 1445 H - 10 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini na Sita -

Hebu na Tuzikomboe Nafsi zetu kutoka na Hofu kama Walivyofanya Mashujaa wa Gaza!
Imewasilishwa na: Ust. Ibrahim Al-Atrash
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Alhamisi 02 Shawwal Al-Kheir 1445 H - 11 Aprili 2024 M

[“Gaza katika Ramadhan Izza na Ushindi!”]
- Kalima ya Thalathini na Saba -

Je, sio Wakati sasa wa Kubadilisha Uongozi wa Kiulimwengu?!
Imewasilishwa na: Ust. Sam Mohabbat
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Ijumaa 03 Shawwal Al-Kheir 1445 H - 12 Aprili 2024 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu