Ni Kipi Kilicho Nyuma ya Oparesheni ya Uturuki "Olive Branch" Kaskazini Mwa Syria?
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Imegunduliwa kwamba harakati za Erdogan nchini Syria zimetulia kwa kiasi fulani baada ya oparesheni ya kuhami Furaat na kutelekeza kwa Erdogan mji wa Aleppo, na kuiruhusu serikali kuchukua udhibiti juu ya Aleppo, lakini akaregelea tena oparesheni hiyo kwa jina la ‘Olive Branch’ ikielekea eneo la Afrin tangu Jumamosi, 20/01/2018, kupitia mashambulizi ya anga ya silaha na makombora.