Ukweli wa Shambulizi la Angani la Amerika la Hivi Karibuni Nchini Syria!
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika toleo letu la tarehe 11/4/2018, juu ya mkutano wa Putin, Rouhani na Erdogan, lilieleza kuwa watatu hawa wanatekeleza maslahi ya Amerika nchini Syria ya kuweka utawala wa kisekula chini ya ushawishi wa Amerika.