Kongamano la Urusi na Amerika Jijini Helsinki
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maraisi wa Amerika na Urusi walifanya kongamano lao jijini Helsinki, mji mkuu wa Finland, mnamo Jumatatu 16/7/2018.
Maraisi wa Amerika na Urusi walifanya kongamano lao jijini Helsinki, mji mkuu wa Finland, mnamo Jumatatu 16/7/2018.
Kongamano la NATO lilifanywa jijini Brussels, mji mkuu wa Ubelgiji na makao makuu ya Muungano wa Ulaya, mnamo 11 na 12/7/2018. Lilihudhuriwa na raisi wa Amerika na viongozi wa nchi 29 wanachama wa muungano huo.
Kongamano la maraisi baina ya Amerika Kaskazini na Korea Kaskazini lilifanywa kupitia mkutano wa Maraisi wawili, Trump na Kim mnamo 12/6/2018 nchini Singapore. Walitia saini waraka kwa pamoja mwishoni mwa kongamano hilo.
La kwanza: Swali: Bei za mafuta zimeongezeka mnamo 24/5/2018 kwa tarakimu za juu, huku bei ya mafuta ambayo hayajasafishwa aina ya Brent ikifikia dolari 79 kwa pipa, na mafuta ambayo hayajasafishwa ya Texas ikifikia dolari 71 kwa pipa.
Twajua kwamba Amerika ni nchi inayoendeshwa na taasisi na kwamba mtizamo wa Amerika kiulimwengu unasimamiwa na taasisi za utawala ndani ya Amerika, na sio rais.
Katika toleo letu la tarehe 11/4/2018, juu ya mkutano wa Putin, Rouhani na Erdogan, lilieleza kuwa watatu hawa wanatekeleza maslahi ya Amerika nchini Syria ya kuweka utawala wa kisekula chini ya ushawishi wa Amerika.
Mfalme Mtarajiwa wa Saudia, Mohammad Bin Salman, alikamilisha ziara yake nchini Ufaransa, iliyo anza mnamo Jumatatu 09/04/2018 na kuchukua siku mbili hadi 10/04/2018. Awali alizuru Uingereza mnamo 10/03/2018 kwa siku tatu.
Je, Harakati ya Kusini (Al-Hirak Al-Janoubi) bado ni Amerika? Au wakala wa baraza hilo uligeuka kuwa wa Uingereza kutokana na kudhibitiwa na Imarati na kugeuka kuwa mfuasi wa Imarati, na Imarati inawakilisha Uingereza nchini humo?
Imegunduliwa kwamba harakati za Erdogan nchini Syria zimetulia kwa kiasi fulani baada ya oparesheni ya kuhami Furaat na kutelekeza kwa Erdogan mji wa Aleppo, na kuiruhusu serikali kuchukua udhibiti juu ya Aleppo, lakini akaregelea tena oparesheni hiyo kwa jina la ‘Olive Branch’ ikielekea eneo la Afrin tangu Jumamosi, 20/01/2018, kupitia mashambulizi ya anga ya silaha na makombora.
Twajua kuwa Urusi imeingia Syria kupitia makubaliano na Amerika au kupitia maagizo yake kuidumisha serikali hiyo na kuunda mazingira ya suluhisho la kisiasa na upinzani nchini humo.