Msisitizo wa Trump Juu ya OPEC, Hususan Juu ya Saudi Arabia, ili Kuongeza Uzalishaji na Kupunguza Bei za Mafuta
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo 2 Oktoba 2018, wakati wa mkutano wa uchaguzi wa muhula wa kati katika eneo bunge la Mississippi, Trump aliitishia Saudi Arabia na kuwaonyesha wafuasi wake kuwa alikuwa akipambana na bei za juu za mafuta: “… Na vipi kuhusu mikataba yetu ya kijeshi ambapo tunalinda mataifa tajiri na hatulipwi, vipi kuhusu hiyo mali “kwa maana ya mafuta”? Ambayo pia inabadilika… Tunailinda Saudi Arabia.