Enyi Majeshi ya Waislamu! Uhangaishwaji wa Watoto wa Kipalestina na Umbile la Kiyahudi Hautakoma Isipokuwa kwa Kwenda Kwenu Kuung'oa Uvamizi Huu Katili kwa Mizizi Yake!
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kulingana na wanaharakati na mawakili wa Palestina, umbile vamizi la Kiyahudi limeimarisha ulengaji wao wa watoto wa Kipalestina kwa ajili ya kuwakamata kwa wiki chache zilizopita kama sehemu ya "Operesheni Sheria na Utangamano", ambao wengi wao wamepigwa kinyama na kuteswa kisaikolojia.