Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 425
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 425
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 425
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Utamaduni cha Merinos jijini Bursa lenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni;
Mnamo tarehe 20/12/2021, Al-Jazeera ilichapisha kwenye tovuti yake: “Jeshi la Ukraine na watu wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Moscow walikabiliana kwa risasi, na kusababisha vifo katika pande zote mbili...
Katika Kitabu cha Mafahim ya Hizb ut Tahrir uk.35 (nakala ya Kiarabu) (uk 29-30 nakala ya Kiingereza), mstari wa 7 na 9, kimetaja “Falsafa ya Kiislamu”, lakini kinachojulikana kwetu katika chama ni kwamba hakuna wanafalsafa wala falsafa katika Uislamu.