Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 374
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 374
Vichwa Vikuu vya Toleo 374
Karibu mwaka mmoja baada ya kukamatwa kwa Ndugu Mohsen Muhammad al-Jadabi, mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Yemen, bila kosa lolote isipokuwa kufanya kazi ya kuregesha hukmu za Uislamu zitekelezwe katika uhalisia wa maisha ya watu,
Kwa ajili ya ufafanuzi wa swali: Je, Mtume (saw) kutokuomba kwake Nusra kutoka kwa Maquraish ni kwa sababu hawakuwa na vigezo hivyo kabisa, au ni kwa sababu tu waliukataa Uislamu? Na ninaokusudia ni viongozi wa Makkah.
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi