Kuongezwa Muda wa Ujumbe wa UNITAMS kwa Mwaka Mwengine Kunatokana na Usimamizi wa Dhahiri wa Nchi za Kikoloni juu ya Sudan
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo Siku ya Ijumaa, tarehe 03/06/2022, Baraza la Usalama lilipitisha Azimio nambari 2636, la kuongeza muda wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kusaidia Awamu ya Mpito nchini Sudan (UNITAMS) kwa kipindi cha mwaka mmoja hadi 06/03/2023, kwa kauli moja ya wajumbe wa Baraza la Usalama.