Uongozi wa Kisiasa na Kijeshi wa Pakistan Uko katika Ukurasa Mmoja Kuhusiana na Kujisalimisha kwa Chombo cha Amerika, FATF
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mkuu wa Majeshi ya Pakistan (COAS), Jenerali Qamar Javed Bajwa, mnamo Ijumaa tarehe 17 Juni alilitaja tangazo la Jopo Kazi la Kifedha (FATF), kama "mafanikio makubwa" kwa Pakistan.