Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia Kongamano la Kila Mwaka: “Ruwaza ya Kiuchumi ya Hizb ut Tahrir”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Ulimwengu wa leo ungali unaishi juu ya athari za mgogoro mpya wa kiuchumi. Bali, ungali unaendelea kuungua kutokana na masuluhisho maovu na kuwa mbali kutokana na maudhui makubwa ya uchumi, haswa chini ya utawala wa mfumo wa kirasilimali