Jumamosi, 23 Sha'aban 1446 | 2025/02/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Amali za Kilimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah 1446 H – 2025 M

Khilafah Rashidah kwa Njia ya Utume

Yenye Kuokoa Ulimwengu na Wanadamu

Katika mwezi wa Rajab Mtukufu mwaka huu 1446 H - 2025 M, tunakumbuka kumbukumbu mbaya ya miaka 104 ya kuvunjwa kwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Waarabu na Waturuki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume, Muhammad, rehma na amani ziwe juu yake, na Maswahaba zake watukufu na waliobarikiwa, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na tarehe 3 Machi 1924 M mikononi mwa mhalifu Mustafa Kemal. Wakati huo huo mauaji ya kikatili na mauaji ya halaiki yanayofanywa na umbile nyakuzi na la kutisha la Kiyahudi yanaendelea dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa zaidi ya Waislamu elfu 170, wanaume na wanawake, hadi sasa, ambao wengi wao ni wanawake, watoto na wazee. Kwa upande mwingine, mapinduzi yaliyobarikiwa ya Ash-Sham yamefikia kitovu cha Makao ya Uislamu (ash-Sham) na kumng’oa dhalimu wa Damascus, lakini bado yanapitia mchakato mgumu na hatari katika jaribio la kutoroka kutoka kwenye mshiko wa mfumo wa dunia pamoja na nchi zake zote na vyama vyenye uadui kwa Uislamu na Waislamu!

Kutokana na hili, Hizb ut Tahrir inaandaa amali mbalimbali za umma katika nchi zote ambazo inaendesha shughuli zake za kuwahamasisha Waislamu kufanya kazi kwa bidii ili kusimamisha Dola ya Kiislamu, Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume. Ni Khilafah peke yake ndiyo itakayotoa izza duniani na wokovu kesho Akhera, na ndiyo pekee yenye uwezo wa kukomboa ardhi na wanadamu kutoka kwa makafiri wahalifu na kutoka kwenye vitimbi vya Kafiri Magharibi dhidi yetu!

Na sisi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, Mwenyezi Mungu akipenda, kupitia ukurasa huu tutaangazia kwa kina amali hizi, tukimuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu aharakishe kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Ijumaa, 10 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 10 Januari 2025 M

Ujumbe kutoka kwa Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

kuhusu Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah


Ujumbe kutoka Kitengo cha Wanawake cha Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

kuhusu Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah


   Ar
   
   

#ReturnTheKhilafah

Afg Twetter  #TurudisheniKhilafah

#أقيموا_الخلافة

Af Facebook #EstablishKhilafah

YenidenHilafet#

Afg Inst #خلافت_كو_قائم_كرو

Wito kutoka kwa Umma Mtukufu kwenda kwa Watu wenye Nguvu na Ulinzi

Al-Waqiyah TV

AlWaqyiah TV logo

Ujumbe kutoka kote Ulimwenguni “Iokoeni Gaza!”

Ujumbe wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir kutoka kote Ulimwenguni

Jumapili, 12 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 12 Januari 2025 M

Kwa Maelezo zaidi Bonyeza Hapa

 

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Kama vile Yalivyo anza na “Ni ya Mwenyezi Mungu,” lazima Yamalizike na “Ni ya Mwenyezi Mungu”!

Imetolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Uturuki

Kwa ushirikiano na Al-Waqiyah TV

Ijumaa, 25 Jumada Al-Akhir 1446 H sawia na 27 Disemba 2024

Kwa Maelezo zaidi Bonyeza Hapa

Al-Waqiyah TV

Toleo la Hizb ut Tahrir

Wito kwa Waislamu Wote, Na kwa Watu wa Ash-Sham Hasa!

Imetolewa na: Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

 

 Hizb ut Tahrir

Wito kwa Waislamu kwa Jumla, na kwa Watu wa Ash-Sham Hasa

19 Jumda Al-Awwal 1446 H - 21 Disemba 2024 M


Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Katika Kumbukumbu ya Kila Mwaka ya Kuvunjwa Khilafah na ukingoni mwa kuregea kwake, Tunaulingania Umma wa Kiislamu Uharakishe Kuisimamisha

28 Rajab 1446 H - 28 Januari 2025 M

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Hotuba ya Kisiasa katika Soko Kuu la Port Sudan
Hatari ya Kubadilisha Hukmu za Uislamu

27 Rajab 1446 H - 27 Januari 2025 M

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kenya

Hizb ut Tahrir / Kenya Iliandaa Msururu wa Amali katika Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

27 Rajab 1446 H - 27 Januari 2025 M

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Watawala Vibaraka Wana Hofu juu ya Tishio kwa Viti vyao vya Utawala lakini Hawana Wasiwasi juu ya Vita vya Mauaji ya Halaiki!

13 Rajab 1446 H - 13 Januari 2025

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Malaysia

Unafiki wa Kisiasa katika Demokrasia Kamwe Hautaisha Mpaka Tuubadilishe kwa Siasa za Kiislamu

10 Rajab 1446 H - 10 Januari 2025 M

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan
Khilafah: Mradi wa Mabadiliko wa Ummah na Taji la Faradhi zote

05 Rajab 1446 H - 05 Januari 2025 M

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Hotuba Inayohusu Bendera za Rayah na Liwaa za Mtume (saw) Ilipambwa kwa Takbira na Machozi katika Soko Kuu la Port Sudan

28 Jumada Al-Akhir 1446 H - 30 Disemba 2024 M

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Maingiliano ya Ummah na Hotuba: “Khilafah Ndio Mfumo wa Utawala katika Uislamu”

22 Jumada Al-Akhir 1446 H - 24 Disemba 2024 M

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Amerika ni Adui Yenu Dhahiri. Majaribio ya Kuidekeza ni Batili. Ni kwa Kusimamisha Khilafah Rashida Pekee, ndio Mnaweza Kuzima Faida ya Kimkakati ya Amerika na Kuipa Jibu Lililofaa!

22 Jumada Al-Akhir 1446 H - 24 Disemba 2024 M

 

Habari na Maoni

Mauaji Baada ya Mauaji Yanaendelea Gaza Huku Marekani Ikiendelea Kuwezesha Mauaji ya Halaiki na Dunia Imetulia Tuli

Asma Siddiq
Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

13 Rajab 1446 H - 13 Januari 2025 M

Habari na Maoni

 Mgawanyiko wa Umma wa Kiislamu na Athari zake za Sumu

Musa Muazzam – Wilayah Pakistan

8 Rajab 1446 H - 8 Januari 2025 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Kongamano la Khilafah: “Mabadiliko katika Ardhi ya Ash-Sham... Wasiwasi na Bishara!”

1 Shaaban 1446 H - 31 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Kitengo cha Wanawake “Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa Khilafah!”

28 Rajab 1446 H - 28 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa:

Kitengo cha Wanawake “Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa Khilafah!”

28 Rajab 1446 H - 28 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah “Palestina itakombolewa kupitia Khilafah na Jihad”

26 Rajab 1446 H - 26 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Mkutano wa Kila Wiki wa Vyombo vya Habari - 28/01/2025

28 Rajab 1446 H - 28 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali Kubwa “Usiisahau Gaza wala Usikubali Kusahauliwa Kwake!”

10 Rajab 1446 H - 10 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

20250110 12 Gazzeyi Unutma Unutturma Turkiye Logo

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia Matembezi ya Ukombozi

[وَتَعَاوَنُوا عَلَى الْبِرِّ وَالتَّقْوَىٰ ۖوَلَا تَعَاوَنُوا عَلَى الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ ۚ]

“Na Saidianeni katika Wema na UchaMungu wala Msisaidiane katika Uovu na Uadui”

3 Rajab 1446 H - 3 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

2025 01 03 TNS GAZA ACTV PICs 1 Copy

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan Silsila ya Video

Umma Mmoja... Khilafah Moja

1 Rajab 1446 H - 1 Januari 2025 M

BONYEZA HAPA

One Ummah One Khilafah

 

 

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Makala ya Filamu

"Mustakabali wenye Bishara Njema kutoka Karne Iliyopotea!"

Kwa mnasaba wa miaka 103 H ya mkoloni kafiri, kwa msaada wa wasaliti wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja dola ya Uislamu (Khilafah Uthmani) na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka katika maisha ya Umma wa Kiislamu, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Uturuki.

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu