- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Kongamano la Khilafah: “Mabadiliko katika Ardhi ya Ash-Sham... Wasiwasi na Bishara Njema!”
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 104 Hijria ya kuvunjwa dola ya Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu mwaka 1342 H sawa na 03/03/1924 M mikononi mwa wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, na kwa kuzingatia mabadiliko na mishtuko mikali inayotokea ndani na karibu na ardhi ya Ash-Sham, Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon inaandaa kongamano lenye kichwa:
“Mabadiliko katika Ardhi ya Ash-Sham... Wasiwasi na Bishara Njema!”
Hii itakuwa saa 15:15 adhuhuri kwa saa za Beirut (saa 16:15 alasiri kwa saa za Madina) katika ukumbi wa maonyesho katika jengo la Jumuiya ya Utamaduni mjini Tripoli, Lebanon.
Ijumaa, 01 Shaaban 1446 H sawia na 31 Januari 2025 M
- Ripoti ya Habari kuhusu Amali ya Kongamano la kila Mwaka la Khilafah -
- Video Kamili ya Amali ya Kongamano la kila Mwaka la Khilafah -
https://alwaqiyah.htcmo.info/LebConf_31012025SD.mp4
- Video za Amali ya Kongamano la kila Mwaka la Khilafah -
Kalima ya Ufunguzi wa Kongamano
“Mabadiliko katika Biladi Ash-Sham ... Wasiwasi na Bishara Njema!”
Na Dkt. Muhammad Jaber / Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir
Matukio ya Ash-Sham na Mkabala wa Kusimamisha Khilafah
Na Mhandisi Salah Eddine Adada / Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kuangukwa kwa Dhalimu wa Ash-Sham basi Simamisheni juu ya Magofu yake Dola ya Kiislamu
Na Ustadh Nasser Sheikh Abdulhay / Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria
[Video Fupi]
Kuanzia Kimbunga cha Al-Aqsa hadi Kuanguka kwa Dhalimu
Hakuna Tamkini katika Ardhi pasi na Tamkini katika Dini
Na Ustadh Ahmad Al-Qasas / Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Umma Shahidi
Na Ustadh Abdullah Imamoglu / Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki
[Video Fupi]
“Mabadiliko katika Biladi Ash-Sham ... Wasiwasi na Bishara Njema!”
Hivi ndivyo tulivyo katika Njia ya Utume!
Na Ustadh Ahmad Al-Sufi (Abu Nizar) / Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Lebanon
Taarifa ya Mwisho ya Kongamano hilo
“Mabadiliko katika Biladi Ash-Sham ... Wasiwasi na Bishara Njema!”
Na Sheikh Dkt. Muhammad Ibrahim / Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Lebanon
- Sehemu za Wakati -
?Tripoli, Lebanon
? Ukumbi wa Jumuiya ya Utamaduni
? Ijumaa ya kwanza ya Shabaan 1446 H sawia na 31/01/2025
? Saa 3:15 Alasiri baada ya Swala ya Alasiri (16:15 Saa za Madina)
- Video za Ualishi wa Kongamano -
- Video ya Kwanza -
- Video ya Pili -
- Alama Ishara za Kampeni na Kongamano la Kila Mwaka -
#أقيموا_الخلافة
#ReturnTheKhilafah
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah
Kwa Mengi Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Akaunti Rasmi ya X Ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon
Akaunti Rasmi ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon
Akaunti Rasmi ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon