- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Mkutano wa Kila Wiki wa Vyombo vya Habari - 28/01/2025
Mkutano wa vyombo vya habari kila wiki
wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki
Umewasilishwa na Ustadh Mahmoud Kar
Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki
Wiki hii, ulijadili:
- Kumbukumbu ya kuanguka kwa Khilafah, 28 Rajab 1342 H!
- Kauli za Trump kuhusu Gaza na Saudia!
- Moto wa hoteli na msururu wa uzembe na mapungufu!
Jumanne, 28 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 28 Januari 2025 M