Wakoloni wa Magharibi Kufadhili Elimu ili Kuendeleza Utumwa wa Kifikra
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Ijumaa, 11 Juni 2021 Rais Uhuru Kenyatta alimpongeza Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kwa kuahidi milioni £430 (takribani bilioni Ksh65) kwa kampeni ya Ushirikiano wa Kimataifa kwa ajili ya Elimu.