Jumuiya Saliti ya Waarabu Yafungua Mlango Kuruhusu Utawala wa Syria kuingia kwenye Kundi lao
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Miaka 12 baada ya ghasia nchini Syria, Jumuiya ya Waarabu yakaribia kuukubali utawala wa Syria kuregea katika kundi la shirika hilo. Hili limeidhinishwa haswa na tawala za Saudia na Imarati, ambazo zimeshinikiza shirika hilo kuirudisha serikali ya Syria.