Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilaya Uturuki: Swala ya Maiti Asiyekuwepo kwa Mashahidi wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Chini ya mazingira ya kupiga kambi kwenye Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na mmimino wa risasi unaoendelea kwa muda wa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, ambapo zaidi ya Wanaume na wanawake wa Kiislamu 200 wameuawa mashahidi katika wiki mbili zilizopita pekee, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki inaandaa kusimamisha swala ya maiti asiyekuwepo kwa mashahidi wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) katika miji mikubwa 21 nchini Uturuki, na itakuwa baada ya kutekeleza swala ya Ijumaa 21/05 / 2021.

Kwa mengi zaidi, bonyeza hapa

Ijumaa, 09 Shawwal H sawia na 21 Mei 2021 M

الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#Aqsa_calls_armies

#AqsaCallsArmies

#OrdularAksaya

Kwa ufafanuzi zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu