Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Enyi, Jeshi la Misri, KInana... Adui yuko Machoni pako... Amemwaga Damu yenu na Kuwaua Ndugu zenu, Umefika Wakati kwenu Kuchukua Hatua!”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir/Wilayah Tunisia imeandaa matembezi kwa kichwa “Enyi, Jeshi la Misri, Kinana... Adui yuko Machoni pako... Amemwaga Damu yenu na Kuwaua Ndugu zenu, Umefika Wakati kwenu Kuchukua Hatua!” baada ya swala ya Ijumaa yaliyoanza kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis hadi barabara ya Al-Thawra kama ilivyo kila Ijumaa.