Al Waqiyah TV: Matukio ya Syria na Kuanguka Utawala wa Assad!
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ripoti kuhusu jibu la swali lililotolewa na Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi, kuhusu matukio ya Syria na kuanguka kwa utawala wa Assad.