- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Afisi Kuu ya Habari: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1446 H
[Pongezi kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1446 H]
Zimewasilishwa na Ustadha Rana Mustafa
Mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Jumapili, 1 Shawwal 1446 H sawia na 30 Machi 2025 M