- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
DVD ya “Amali za Hizb ut Tahrir za Kilimwengu katika Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1446 H - 2025 M”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kwa lugha sita yenye kichwa:
“Amali za Hizb ut Tahrir za Kilimwengu katika Kumbukumbu ya Miaka 104 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1446 H - 2025 M”
Imetayarishwa na Idara ya Machapisho na Makavazi ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.
ili kupakua DVD
ili kutembelea ukurasa wa kampeni ya kimataifa