Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 418
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Katika msururu wa amali zilizopewa anwani: "Kadhia ya Kikurdi na Utafutaji wa Suluhisho", ambazo zilianza kwa toleo la Juni la Jarida la Koklu Degisim, ziliendelea na jopo lililofanyika jijini Istanbul.
Jumamosi, Juni 26, 2021, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina iliandaa maandamano mawili makubwa huku kukiwa na hasira iliyoibuka baada ya mwanaharakati wa kisiasa,
Jumatatu asubuhi, Juni 21, 2021 ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia ulizuru ubalozi wa Pakistan jijini Tunis ambapo ulimkabidhi kaimu wa shughuli za ubalozi huo nakala mbili za taarifa kwa vyombo vya habari ya Kiarabu na Kiurdu iliyotolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inayoihutubia serikali ya Pakistan chini ya anwani,
Imepita zaidi ya miaka tisa tangu serikali ya Pakistan ilipomteka nyara Mhandisi Naveed Butt Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, na tangu alipotekwa nyara hajulikani aliko!
Imepita zaidi ya miaka tisa tangu serikali ya Pakistan ilipomteka nyara Mhandisi Naveed Butt Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, na tangu alipotekwa nyara hajulikani aliko!
Mwendelezo wa amali za umma zinazofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi ili kujenga rai jumla kuhusu vipengee vya Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na hali mbaya na hali ngumu ya maisha ambayo watu wanateseka kwayo kutokana na kufuata sera za wakoloni makafiri na kutiishwa kwa masuluhisho ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa.
Ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb ut Tahrir kutaka kukomeshwa kwa utekaji nyara wa Mhandisi Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mkusanyiko wa kambi za Atma Magharibi viungani mwa Idlib,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni pana katika mitandao ya kijamii kwa anwani "Khilafah Itaikomboa Pakistan Kutokana na Sera Angamivu za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa" ili kuirudi bajeti iliyo wasilishwa na watawala wa Pakistan,