Misingi ya Kisheria Baina ya Raajih (Rai Yenye Nguvu) na Marjouh (Rai Hafifu)
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Swali ni ikiwa Mtunzi wa Shariah ameyahifadhi matangamano ya kijinsia kupitia kuweka hukmu yake asili kuwa haramu ili kuhifadhi kizazi! Je, hilo halionekani kuwa sambamba pia katika upande wa miamala ya mali na pesa, au angaa kusema kuwa asl kuhusiana nayo sio mubah…