Hizb ut Tahrir Afisi Kuu ya Habari: Kitengo cha Wanawake “Kampeni ya Kiulimwengu na Siku ya Wanawake ya Kuchukua Hatua kwa ajili ya Palestina"
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kampeni ya Kiulimwengu na Siku ya Wanawake Kuchukua Hatua Kuyaamsha Majeshi ya Waislamu na Wito kwao Kuwaokoa Wanawake wa Gaza na Watoto wake na Ukombozi Kamili wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)