Mfumo Huu Hautowalinda Waislamu wa Palestina
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Alkhamisi, ‘Israel’ na Palestina zilihakikisha kuwa zimekubaliana kwa kauli moja juu ya usitishaji wa mapigano, ambapo Raisi wa Amerika Joe Biden aliukaribisha kwa kuwa ni “fursa ya kweli ya kupiga hatua” kuelekea amani ya kudumu katika Mashariki ya Kati.