Gaza Yafunua na Kufichua
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika wiki ndefu, zenye uchungu, tangu 7 Oktoba 2023, Gaza imefunua haki, na kufichua batili. Imebaini ukweli juu ya watu wa Gaza, Ummah wa Kiislamu kwa jumla, na wasio Waislamu wenye akili adilifu kote ulimwenguni.