Ijumaa, 20 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mkono Mrefu wa Serikali Zinazotawala Katika Nchi za Waislamu ili Kuzifisidi na Kuzitia Usekula Familia!

Tunapozungumzia kuhusu familia, tunazungumzia kuhusu kiini kinachounda jamii, na hivyo basi, ufisadi wowote au dosari yoyote inayoathiri kiini hiki itaonekana katika jamii na dola nzima, achilia mbali kuzungumzia kuhusu mchakato wa mpangilio wa ufisadi wa kiini hiki, na vipi ikiwa ufisadi huu utafanywa chini ya masikio ya dola na macho yake, bali, ina mkono mrefu ndani yake, unaohisika katika nchi za Waislamu.

Soma zaidi...

“Kuyeyuka kwa Familia” za Mujtamaa wa Kisekula wa Kimagharibi SEHEMU 1: Uhakika wa Kuyeyuka kwa Familia katika Dola za Kisekula za Kimagharibi

Mnamo Aprili 2008, Hakimu Paul Coleridge, jaji anaye husika na mahakama za kifamilia kote Kusini Magharibi mwa Uingereza, alitoa hotuba kwa mawakili wa familia kutoka katika shirika la “Resolution”, ambapo aliyasifu maisha ya familia nchini Uingereza kuwa ni “yenye kuyeyuka” yakidhihirisha janga la kuvunjika kwa familia.

Soma zaidi...

Hatari ya Uvivu na Ukosefu wa Motisha kwa Muislamu

Kila mmoja anaijua hali ambayo mtu anajihisi ulegevu fulani na kutokana na hisia hii inakuwa vigumu kwake kutekeleza majukumu fulani, licha ya kiwango cha umuhimu wa majukumu hayo kwake, ima iwe ni jukumu la Kiislamu, la kimaumbile, matamanio au ghariza, uchungaji watoto, faida ya kiuchumi, masomo au hata majukumu madogo madogo ya nyumbani.

Soma zaidi...

Je, Erdogan Anajitayarisha Kutangaza Khilafah Nchini Uturuki?

Miongoni mwa idhlali na maangamivu yanayoukumba ulimwengu wa Kiislamu, leo Waislamu wanasubiri tetemeko la ardhi, siku ambayo Waislamu nchini Uturuki, biladi za Kiarabu na biladi nyenginezo za Kiislamu watakapochukua msimamo walioupoteza, na kutupilia mbali utiifu wowote mwengine isipokuwa utiifu kwa Mola wao, na kutokana na nidhamu yoyote nyengine isipokuwa kwa Dini yao tukufu ya Uislamu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu