Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 514
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia mapambano yanayoendelea, ni wazi kuwa masuluhisho ya sasa yanayoongozwa na Amerika yanashindwa kushughulikia sababu kuu za mzozo huo. Hafla hii itavinjari mwelekeo tofauti-uliojikita katika kanuni na uadilifu wa Kiislamu-ili kutoa njia ya mabadiliko ya kudumu.
Al Waqiyah TV: Mihemo ya Walio Imara... Mahojiano ya Moja kwa Moja kutoka Barabara za Gaza!
Takriban watu 40,000 wameuwawa mjini Gaza katika kipindi cha miezi 10 iliyopita, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, huku serikali za ulimwengu, zikiwemo nchi za Waislamu zikitazama kama watazamaji pekee wa mauaji haya ya umwagaji damu, bila ya dhamira yoyote ya kisiasa ya kukomesha mauaji hayo. Hakika, tawala nyingi za ardhi za Kiislamu kwa miongo kadhaa zimeimarisha mkono wa uvamizi wa Kiyahudi kupitia mikataba yao ya amani, kuhalalisha mahusiano ya kidiplomasia, na ushirikiano wa kiuchumi na umbile hili la mauaji ya halaiki.
Wanawake wa Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia wameelekeza wito kwa wana wa majeshi ya Kiislamu kutekeleza wajibu wao wa Kiislamu katika kuwalinda Waislamu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na uchafu wa umbile la kiyahudi linaokalia kwa mabavu, na kukomboa kila shubiri ya ardhi hii iliyobarikiwa kutoka kwa makucha ya uvamizi huu wa kikatili.
Mgogoro wa Bahari ya China Kusini umeibuka tena kufuatia kuvuja kwa waraka wa kidiplomasia kutoka Jamhuri ya Watu wa China (PRC) kwa Ubalozi wa Malaysia jijini Beijing, wa tarehe 18 Februari. Ujumbe huo ulifichua pingamizi ya China na kuitaka Malaysia kusitisha shughuli za utafiti wa mafuta na gesi huko Beting Raja Jarum na Beting Patinggi Ali, maeneo ya ndani ya Visiwa vya Spratly.
Majeshi ya Waislamu yanapaswa Kuiga Mifano ya Maher al-Jazi na Mashour Haditha al-Jazi.
Kalima ya ujumbe wa Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Jordan katika kumsherehekea shahidi, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, Maher Dhiyab Al-Jazy (Abu Qadr) Al-Huwaitat.