Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 531
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hatimaye, baada ya Mauaji ya Kutisha na Uharibifu wa Kutisha uliofanywa na Mayahudi mjini Gaza
Mnamo tarehe 16 Januari 2025, tovuti ya Al Jazeera ilichapisha masharti ya makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza kuanza leo, Jumapili, Januari 19, 2025. Ilisema: [(Makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza yalitangazwa katika mji mkuu wa Qatar, Doha kutekelezwa katika hatua 3.
Usitishaji wa Mapigano mjini Gaza Haujamaliza Uvamizi wa Kikatili katika Ardhi Iliyobarikiwa!
Makala ya Filamu “Mateso ya Waislamu nchini India!”
Kalima iliyotolewa na shab Muhammad Ali Al-Aouni kwenye Barabara ya Al-Thawra katika mji mkuu Tunis wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 14 ya mapinduzi nchini Tunisia.
Ujumbe wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir kutoka kote Ulimwenguni “Iokoeni Gaza!”
Mnamo tarehe 06/01/2025, rufaa ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Malaysia, Datuk Seri Najib Tun Razak kuhusu kuwepo kwa amri ya nyongeza ya Mfalme, inayomruhusu kutumikia kifungo chake kilichosalia chini ya kifungo cha nyumbani, imekubaliwa na mahakama kwa wingi wa 2-1. Majaji wa Mahakama ya Rufaa kisha wakaamuru kesi hiyo irudishwe katika Mahakama Kuu ili ombi la Najib la uhakiki wa mahakama lisikizwe na jaji mpya. Amri hii ya nyongeza, ambayo ni sehemu ya mchakato wa msamaha wa kifalme, imekuwa jambo la kawaida, ambalo halijawahi kutokea katika asili yake. Sambamba na hilo, kulikuwa na jambo jengine - mkusanyiko mkubwa wa kuonyesha mshikamano uliokusanyika nje ya mahakama, ulioandaliwa na vyama ambavyo hapo awali vilikuwa wapinzani wa kisiasa wa Waziri Mkuu huyo wa zamani.
Katika mwezi wa Rajab Mtukufu mwaka huu 1446 H - 2025 M, tunakumbuka kumbukumbu mbaya ya miaka 104 ya kuvunjwa kwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Waarabu na Waturuki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume, Muhammad, rehma na amani ziwe juu yake, na Maswahaba zake watukufu na waliobarikiwa, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na tarehe 3 Machi 1924 M mikononi mwa mhalifu Mustafa Kemal. Kutokana na hili, Hizb ut Tahrir inaandaa amali mbalimbali za umma katika nchi zote ambazo inaendesha shughuli zake za kuwahamasisha Waislamu kufanya kazi kwa bidii ili kusimamisha Dola ya Kiislamu, Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.