Agizo la Kumtoa Naveed Butt Lilitolewa Mnamo 4 Januari 2018, lakini Angali Hajaonekana wala Kuskika Tangu Kutoweka Kwake kwa Kulazimishwa mnamo 11 Mei 2012
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 2 Disemba 2020, ilitangazwa kuwa serikali ya Afghanistan na Taliban wamekubaliana juu ya sheria za mazungumzo.
Badala ya Kutoa tu Mkusanyiko wa Ushahidi juu ya Ugaidi wa India, Hamasisha Jeshi letu kwa Ukombozi wa Kashmir
Tangu kuwepo sheria mbaya za serikali za Musharraf-Aziz, Kayan-Zardari na Raheel-Nawaz, Amerika ililazimika kulinda nidhamu ya wakoloni nchini Pakistan isianguke.
“Itawafikia hao walio kosa udhalili na adhabu kali kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya vitimbi walivyo kuwa wakivifanya
Serikali ya Bajwa-Imran imepitiliza mipaka yote katika khiyana dhidi ya Kashmir Iliyokaliwa Kimabavu. Baada ya kukataa kuikomboa Kashmir Iliyokaliwa Kimabavu kupitia kuhamasisha jeshi lenye nia na uwezo la Pakistan,
Katika mahojiano ya mnamo 12 Disemba 2012 pamoja na BBC, alipoulizwa kuhusu ni nani atakayeshinda uchaguzi wa Pakistan wa Mei 2013, aliyekuwa Balozi wa Amerika wakati huo Richard Olson alitangaza kwa ujasiri mkubwa, "Farasi wetu ni demokrasia."
Licha ya janga maambukizi ya virusi vya Korona, serikali ya kimabavu wa Modi ilitoa vyeti vipya 430,000 vya ukaazi katika Kashmir Iliyokaliwa ili kubadilisha idadi ya watu kwa nguvu kupitia "walowezi" katika eneo hilo,
Maeneo mengi ya Karachi bado yamezama katika mchanganyiko wa mvua na maji taka, na kukatika kukubwa kwa nguvu za umeme, baada ya siku kadhaa za mvua kubwa iliyoharibu miundombinu ya Karachi iliyopuuzwa kwa muda mrefu.
Ili kuhakikisha ushindi wa Trump katika uchaguzi, Imarati kwanza na bila aibu ilisawazisha mahusiano na umbile la Kiyahudi,