Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Ustadh Muhammad Hajj Sulayman Alaiwi Abu Ali
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria inamuomboleza: Ustadh Muhammad Hajj Sulayman Alaiwi Abu Ali Mmoja wa wabebaji da’wah wa kwanza, ambaye alifariki dunia kwenda kwenye rehma na msamaha wa Mwenyezi Mungu akiwa na umri wa miaka sabiini mnamo siku ya Jumamosi, 23 Novemba 2024.