Mapigano ya Kikabila Huko Darfur kwa Kukosekana Dola ya Uchungaji; Khilafah kwa njia ya Utume – Imepelekea na Ingali Inapelekea Umwagikaji wa Damu
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku ya Jumatatu, 1/18/2021, Kamati ya Madaktari wa Darfur Magharibi ilitangaza kuwa wahasiriwa wa mji wa El Geneina wameongezeka hadi wafu 129 na majeruhi 198 katika mzozo ulioibuka kati ya Waarabu wahamaji na mapote ya kabila katika eneo hilo.