Jumatatu, 28 Safar 1446 | 2024/09/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Amali za Kuwanusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyo Mateka!

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa msururu wa amali za kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu  kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi katili.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Amerika: Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Uturuki cha Kuyaomba Nusra Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa

Mbele ya ushujaa waliouonyesha Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kudumu kuushambuliwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Tufani ya Twitter Operesheni Kimbunga cha Al Aqsa Ujumbe wa Dharura kwa Ummah wa Kiislamu na Majeshi yake!

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina chini ya kauli mbiu ya Kimbunga cha Al-Aqsa dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi linaloendelea, na kuzidi katika mashambulizi yake kwa Msikiti Uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir itafanya Tufani ya Twitter ambayo sasa inajulikana kama X chini ya kichwa:

Operesheni Kimbunga cha Al Aqsa Ujumbe wa Dharura kwa Ummah wa Kiislamu na Majeshi yake!

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu