Alhamisi, 03 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh:

Kongamano la Kimataifa “Mageuzi ya Serikali au Mabadiliko ya Kina?”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh inaandaa kongamano la kimataifa lenye kichwa:

“Mageuzi ya Serikali au Mabadiliko ya Kina?”

 Mada za kongamano la kimataifa:

Hotuba ya Kwanza

Bangladesh Mpya: Ramani ya Dola inayoongoza!

Hotuba ya Pili

Kwa nini mageuzi yalifeli katika nchi za Mchipuko (wa mapinduzi)?

Mzungumzaji: Ahmed Al Qasas, Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Hotuba ya Tatu

Kufeli kwa Demokrasia na Ubepari katika nchi za Magharibi!

Mzungumzaji: Wassim Dridi, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Australia

Hotuba ya Nne

Ramani ya Utekelezaji wa Haraka wa Mabadiliko ya kina nchini

﴿كُنْتُمْ خَيْرَ أُمَّةٍ أُخْرِجَتْ لِلنَّاسِ﴾

“Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu” [Aali Imran: 110]

Kwa hivyo kuweni pamoja nasi...

Ijumaa, 27 Jumada al-Awwal 1446 Hijria sawia na 29 Novemba 2024 M 

- Wakati na Mahali -

Siku na Tarehe: Ijumaa, 29 Novemba 2024 M

Wakati: 15:00 (Kwa saa za Madina Al-Munawwara)

Ili kufuatilia Bonyeza Hapa

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano -

https://www.alwaqiyah.tv/index.php/video/10448/international-khilafah-conference-state-reform-or-comprehensive-change/

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kupitia Tovuti ya Rumble -

(Hivi Punde InshaAllah)


Kwa Maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Bangladesh:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh

Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu